Maelezo
Hizi pocket Wi-Fi za Yas zipo za namna mbili, za 4G pekee na 4G/5G. Zote bei ni moja, kwa maana 120,000 unapata pocket wifi yenye kifurushi unlimited mwezi mzima na baada ya hapo utaweza kununua kifurushi cha shilingi 70,000 unlimited internet bundle kwa mwezi.
4G pocket Wi-Fi inaweza kuunganisha vifaa hadi 10, wakati 4G/5G inaunganisha vifaa hadi 12.
Zinaweza kuunganisha mpaka umbali wa mita 50 na zinaweza kudumu kwenye chaji mpaka masaa 24.
