Yas 5G Router

Sambaza:

Sh 250,000

Biashara:  Plovie Bundles


Maelezo

Hii ni Router yenye Super Fasting 5G speed kutoka Yas.

Inakuja na free unlimited internet kwa mwezi mmoja na baada ya hapo utaweza kujiunga vifurushi mbalimbali kama ifuatavyo.

  • 70,000 – 10MBPS
  • 100,000- 20MBPS
  • 150,000 – 50MBPS
  • 200,000 – 100MBPS

Ni portable, yenye kasi zaidi, chaji +12hrs. Inaweza kuunganisha mpaka vifaa 64 na kwa umbali wa mpaka mita 100.

Inakuja na power bank, power cable pamoja na Ethernet cable kwa ajili ya kuunganisha moja kwa moja na computer au PC.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma