Maelezo
Zoom H5 Handy Recorder ni kifaa cha kurekodi sauti, cha kitaalamu, kinachobebeka, chenye ubora wa juu na ufanisi mkubwa kwa hasa kwa wanamuziki, waandishi wa habari, na content creators.
Kifaa hiki kina uwezo wa kurekodi hadi njia 4 kwa wakati mmoja, kikiwa na mfumo wa modular microphone unaoweza kubadilishwa kulingana na mahitaji ya mtumiaji.
MATUMIZI YANAYOPENDEKEZWA
- Waandishi wa habari na podcasters: Kwa mahojiano na field recording
- Watengenezaji wa video: Kwa kurekodi sauti ya ubora wa juu sambamba na kamera
- Wanamuzi: Kwa rehearsal, live performance, au demo recording
- Walimu na waelimishaji: Kwa kurekodi mihadhara na mafunzo
VIPENGELE MUHIMU vya Zoom H5 Handy Recorder
- Aina: Portable Digital Audio Recorder
- Inputs: 2 XLR/TRS combo connectors (na phantom power) + XY capsule mic module
- Uwezo wa kurekodi: Hadi 4 tracks simultaneously
- Storage: Inarekodi moja kwa moja kwenye SD/SDHC cards (hadi 32 GB)
- Audio Quality: 24-bit/96 kHz WAV (BWF-compliant) au MP3 formats
- Mic Capsule: XYH-5 capsule inayoweza kushughulikia hadi 140 dB SPL
- Modular Mic System: Inaruhusu kubadilisha capsules (inaendana na Zoom H6 mic modules)
- Shock-mounted mics: Kupunguza vibration na handling noise
- Low-cut filter: Huzuia kelele za upepo na sauti za chini zisizohitajika
- Compression & Limiting: Hudhibiti viwango vya sauti ili kuepuka distortion
- Pre-record & Auto-record functions: Hukamata sekunde chache kabla hujabonyeza record – muhimu kwa matukio ya ghafla
- Backup-record: Hurekodi track ya ziada kwa usalama ikiwa sauti kuu itaharibika
- Battery Life: Takribani masaa 15 kwa AA batteries mbili
VIFAA INAVYOKUJA NAYO Zoom H5 Handy Recorder
- XYH-5 capsule mic
- Protective case
- USB interface (inaweza kutumika kama audio interface kwa kompyuta)
- SD card slot
- Wind screen (Kwa baadhi ya packages)






