Online applications

Sambaza:

Maelezo

Karibu Afilieti Network Limited kwa usaidizi wa huduma zote za maombi ya mtandaoni (Online applications).

Tunatoa huduma zifuatazo kwa ustadi na uaminifu mkubwa;

  1. Maombi na uhakiki wa cheti Cha kuzaliwa/kifo
  2. Maombi ya TIN number
  3. Maombi ya leseni ya biashara
  4. Maombi ya usajili wa kampuni na jina la biashara (Brela)
  5. Maombi ya loss report
  6. Maombi ya usajili wa vikundi vya ujasiriamali
  7. Maombi ya vyuo na mikopo HESLB
  8. Maombi ya passport ya kusafiria.
  9. Kufungua akaunti na Maombi ya ajira kwenye ajiraportal
  10. Na huduma zingine za mtandaoni.
Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma