Maelezo
📢 KARIBU SANA KWENYE HUDUMA ZETU ZA HARAKA NA UHAKIKA!
Tunakupatia huduma mbalimbali kwa ubora, uaminifu na kwa muda mfupi.
✅ 1. Vyeti vya Kuzaliwa
- Cheti cha mtoto au mtu mzima ndani ya saa 24
- Marekebisho ya taarifa
- Kupata cheti kipya au kilichopotea
✅ 2. Huduma za NIDA
- Marekebisho ya taarifa
- Kujaza fomu upya
- Kupata Namba ya NIDA
- Soft copy kwa wenye namba tayari
✅ 3. TIN Number na Leseni
- TIN binafsi na za biashara
- Leseni za biashara
- Leseni za vyombo vya moto (Bara na Zanzibar)
✅ 4. Maombi ya Kazi na Academic Support
- Kufanya maombi ya kazi kwa niaba yako
- Research
- Quizzes
- Proposal Writing
✅ 5. Ajira Portal na Usajili
- Kutengeneza akaunti Ajira Portal
- Usajili wa TAESA
- Usajili wa bodi mbalimbali (mfano PSPTB na nyinginezo)
✅ 6. Huduma za Mwanasheria
- Muhuri wa mwanasheria kwenye nyaraka mbalimbali
- Vyeti, mikataba na documents muhimu
✨ Karibu leo upate huduma za haraka, salama na zenye uhakika. Tunathamini muda wako!
