Dunia ya biashara inabadilika kwa kasi ya ajabu. Kupitia Afilieti, kila mtu anaweza kunufaika—iwe wewe ni mfanyabiashara au mteja wa kawaida. Afilieti ni daraja linalounganisha biashara na watu kupitia teknolojia ya kidijitali.

Wewe kama mteja kwenye Afilieti unapata;
- Kuona bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji halisi
- Urahisi wa kununua mtandaoni bila stress
- Upatikanaji wa bidhaa kutoka maeneo tofauti
- Uhakika wa huduma kupitia mfumo wa kidijitali
Kama wewe ni mfanyabiashara, kwenye Afilieti unapata;
- Kupakia bidhaa zako bila gharama
- Kufikia wateja wengi zaidi mtandaoni
- Kuongeza mauzo bila kuongeza gharama ya ofisi au wafanyakazi wengi
- Ukuaji wa biashara kwa kasi kupitia mtandao
Afilieti inafanyaje kazi?
- Mfanyabiashara anaweka bidhaa kwenye Afilieti na mawasiliano yake ya WhatsApp au linki ya kumfikia
- Mteja akihitaji bidhaa hiyo anabofya link hiyo na kumfikia muuzaji moja kwa moja
Kwa nini Afilieti ni fursa ya kisasa?
- Hakuna mipaka ya eneo (unaweza kufanya kutoka popote)
- Ni rahisi na inafanya kazi 24/7
- Inawaunganisha wafanyabiashara na soko kubwa
Yote ya yote
Afilieti si tu jukwaa la biashara, bali ni mfumo wa fursa mpya za kidijitali kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.